Ufafanuzi wa mjoja katika Kiswahili

mjoja

nominoPlural mijoja

  • 1

    mti mgumu utumikao sana kutengeneza mitumbwi.

Matamshi

mjoja

/mʄɔʄa/