Ufafanuzi wa mjukuu katika Kiswahili

mjukuu

nominoPlural wajukuu

  • 1

    uzao wa tatu kutoka wazazi wa kwanza hadi mwana wa mtoto.

Matamshi

mjukuu

/mʄuku:/