Ufafanuzi wa mjumbe katika Kiswahili

mjumbe

nominoPlural wajumbe

 • 1

  mtu anayewakilisha watu wengine katika shughuli k.v. mkutanoni.

  kijumbe, wakala, mwakilishi

 • 2

  mtu aliyetumwa kuwasilisha habari fulani.

  methali ‘Mjumbe hauawi’
  tarishi

Matamshi

mjumbe

/mʄumbɛ/