Ufafanuzi wa mjuvi katika Kiswahili

mjuvi

nominoPlural wajuvi

  • 1

    mtu anayejifanya kujua kila jambo.

  • 2

    mtu mjeuri.

    mjuba

Matamshi

mjuvi

/mʄuvi/