Ufafanuzi msingi wa mkaja katika Kiswahili

: mkaja1mkaja2

mkaja1

nominoPlural mikaja

  • 1

    nguo anayovaa mwanamke tumboni hasa baada ya kuzaa.

Matamshi

mkaja

/mkaʄa/

Ufafanuzi msingi wa mkaja katika Kiswahili

: mkaja1mkaja2

mkaja2

nominoPlural mikaja

  • 1

    ada atozwayo anayechumbia ili kupewa watu wa upande wa kuukeni.

Matamshi

mkaja

/mkaʄa/