Ufafanuzi msingi wa mkakasi katika Kiswahili

: mkakasi1mkakasi2

mkakasi1

nominoPlural mikakasi

  • 1

    mti mrefu ambao ni laini sana.

    methali ‘Uzuri wa mkakasi ukipata maji basi’

Ufafanuzi msingi wa mkakasi katika Kiswahili

: mkakasi1mkakasi2

mkakasi2

nominoPlural mikakasi

  • 1

    chombo cha mviringo k.v. mkebe chenye kifuniko na ambacho ndani kimezungushiwa mti, agh. hutumiwa kwa kutilia uturi au vitu vingine vidogovidogo.

    methali ‘Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti’

Matamshi

mkakasi

/mkakasi/