Ufafanuzi wa mkakati katika Kiswahili

mkakati

nominoPlural mikakati

  • 1

    mpango maalumu unaoandaliwa kwa ustadi mkubwa ili utumike kama njia ya kufikia lengo fulani.

Matamshi

mkakati

/mkakati/