Ufafanuzi wa mkaliliaji katika Kiswahili

mkaliliaji

nominoPlural wakaliliaji

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    mtu anayekaa kwenye mirengu ya ngalawa ili kuifanya isielemee sana upande mmoja.

Matamshi

mkaliliaji

/mkalilijaʄi/