Ufafanuzi wa mkamasi katika Kiswahili

mkamasi

nomino

  • 1

    mti unaozaa matunda madogo yanayoliwa, ambayo ndani mna utelezi mfano wa kamasi.

Matamshi

mkamasi

/mkamasi/