nominoPlural mikanda
- 1
ugwe, agh. wa ngozi au nguo unaovaliwa kiunoni.
mshipi - 2
ugwe k.v. wa ngozi au nguo unaotumika kuendeshea mitambo.
Matamshi
mkanda
/mkanda/nominoPlural mikanda
- 1
mlango wa bahari.