Ufafanuzi wa mkandaa katika Kiswahili

mkandaa

nominoPlural mikandaa

  • 1

    mti unaoota kandokando ya bahari wenye majani madogomadogo kama ya mdimu, hutumiwa kutengenezea boriti na magome yake hufanywa dawa ya kuhifadhi ngozi za wanyama zisioze.

    msindi, mkoko

Matamshi

mkandaa

/mkanda:/