Ufafanuzi wa mkandamizaji katika Kiswahili

mkandamizaji

nominoPlural wakandamizaji

  • 1

    mtu anayedhulumu wengine kwa kuwanyima haki zao.

    mwonevu

Matamshi

mkandamizaji

/mkandamizaʄi/