Ufafanuzi wa mkandarasi katika Kiswahili

mkandarasi

nomino

  • 1

    mtu anayefanya ujenzi au ugavi wa vifaa kwa mkataba maalumu.

    kontrakta

Matamshi

mkandarasi

/mkandarasi/