Ufafanuzi wa mkanganyiko katika Kiswahili

mkanganyiko

nominoPlural mikanganyiko

  • 1

    hali ya vurugu inayosababisha kutokuelewana.

Matamshi

mkanganyiko

/mkangaɲikɔ/