Ufafanuzi msingi wa mkaragazo katika Kiswahili

: mkaragazo1mkaragazo2

mkaragazo1

nominoPlural mikaragazo

  • 1

    mvua inayonyesha kwa nguvu.

Matamshi

mkaragazo

/mkaragazɔ/

Ufafanuzi msingi wa mkaragazo katika Kiswahili

: mkaragazo1mkaragazo2

mkaragazo2

nominoPlural mikaragazo

  • 1

    tumbaku kali.

Matamshi

mkaragazo

/mkaragazɔ/