Ufafanuzi wa mkarambati katika Kiswahili

mkarambati

nominoPlural mikarambati

  • 1

    mti jamii ya mninga utumikao kwa kutoa mbao safi na ngumu.

Matamshi

mkarambati

/mkarambati/