Ufafanuzi wa mkataa katika Kiswahili

mkataa

nomino

  • 1

    uamuzi wa mwisho kabisa.

Matamshi

mkataa

/mkata:/