Ufafanuzi wa mke katika Kiswahili

mke

nominoPlural wake

  • 1

    mwanamke aliyeolewa.

    ahali, harimu, nyumba

Matamshi

mke

/mkɛ/