Ufafanuzi wa mkebe katika Kiswahili

mkebe

nominoPlural mikebe

  • 1

    chombo cha bati kinachotumiwa kuwekea vitu vidogovidogo.

    ‘Mkebe wa rangi ya viatu’
    ‘Mkebe wa kahawa’

Matamshi

mkebe

/mkɛbɛ/