Ufafanuzi wa mkemia katika Kiswahili

mkemia

nominoPlural wakemia

  • 1

    mtaalamu wa kemia.

  • 2

    mfamasia

Asili

Kng

Matamshi

mkemia

/mkɛmija/