Ufafanuzi wa mkenge katika Kiswahili

mkenge

nominoPlural mikenge

  • 1

    mti unaopukutisha majani, wenye matawi mengi yanayoanzia chini na kufanya umbo la mwavuli juu na majani ya umbo la mstatili yaliyojipanga katika jozi na vishada vya tumba nyembamba fupi.

Matamshi

mkenge

/mkɛngɛ/