Ufafanuzi wa mkereketwa katika Kiswahili

mkereketwa

nomino

  • 1

    mtu aliyetopea katika ushabiki wa k.v. chama, itikadi au dini.

Matamshi

mkereketwa

/mkɛrɛkɛtwa/