Ufafanuzi msingi wa mkesha katika Kiswahili

: mkesha1mkesha2

mkesha1

nominoPlural mikesha

  • 1

    usiku wa kuamkia siku fulani.

  • 2

    hali ya kutanzuka kwa mbingu baada ya mvua kunyesha au kuwa na mawingu.

Matamshi

mkesha

/mkɛ∫a/

Ufafanuzi msingi wa mkesha katika Kiswahili

: mkesha1mkesha2

mkesha2

nominoPlural mikesha

  • 1

    shore aliye na rangi ya kahawia mgongoni, rangi nyeupe yenye madoa ya kahawia kifuani na tumboni.

Matamshi

mkesha

/mkɛ∫a/