Ufafanuzi wa mkimwa katika Kiswahili

mkimwa

nominoPlural wimwa

  • 1

    mtu asiyekawia kuchoshwa, kukasirishwa au kukinai jambo; mtu asiye na ustahamilivu.

  • 2

    mtu asiyekuwa na bashasha.

Matamshi

mkimwa

/mkimwa/