Ufafanuzi wa mkingamo katika Kiswahili

mkingamo

nomino

  • 1

    hali ya kuzuia k.v. njia, kwa kuweka kitu kutoka upande mmoja hadi mwingine.

Matamshi

mkingamo

/mkingamÉ”/