Ufafanuzi wa mkingiri katika Kiswahili

mkingiri

nominoPlural mikingiri

  • 1

    mmea unaotumiwa katika matibabu ya sumu za nyoka.

Matamshi

mkingiri

/mkingiri/