Ufafanuzi wa mkirika katika Kiswahili

mkirika

nominoPlural mikirika

  • 1

    mti mdogo unaoota zaidi katika sehemu ya pwani na hutumiwa kwa kutengeneza uzio.

Matamshi

mkirika

/mkirika/