Ufafanuzi wa mkiwa katika Kiswahili

mkiwa

nominoPlural wakiwa

  • 1

    mtu aliyefiwa na mama, baba au ndugu.

  • 2

    mtu aliye mpweke.

  • 3

    mtu asiye na ndugu wala jamaa wa damu.

Matamshi

mkiwa

/mkiwa/