Ufafanuzi wa mkizi katika Kiswahili

mkizi

nominoPlural mikizi

  • 1

    samaki wa rangi ya kijivu iliyochanganyika na kahawia mgongoni, mwenye magamba makubwa, kivimbe cha mduara na tabia ya kuruka.

Matamshi

mkizi

/mkizi/