Ufafanuzi wa mkoba katika Kiswahili

mkoba

nominoPlural mikoba

  • 1

    mfuko uliosukwa kwa miyaa au uliotengenezwa kwa ngozi na unaotumiwa kutilia vitu.

  • 2

    mfuko anaotumia mganga wa kienyeji kuwekea zana zake.

Matamshi

mkoba

/mkɔba/