Ufafanuzi wa mkojo katika Kiswahili

mkojo

nominoPlural mikojo

  • 1

    majimaji kutoka mwilini yanayokusanyika kwenye kibofu na kutoka nje kupitia kwenye tupu ya mbele; haja ndogo.

Matamshi

mkojo

/mkɔʄɔ/