Ufafanuzi wa mkoko katika Kiswahili

mkoko

nomino

  • 1

    mti unaoota baharini unaotumiwa zaidi kwa kujengea na ambao magome yake hutoa dawa inayozuia ngozi za wanyama zisioze, pia hutoa rangi nyekundu.

    mkandaa

Matamshi

mkoko

/mkɔkɔ/