Ufafanuzi wa mkokoteni katika Kiswahili

mkokoteni

nominoPlural mikokoteni

  • 1

    gari la kubebea mizigo linalosukumwa au kuburutwa.

    rukwama

Matamshi

mkokoteni

/mkɔkɔtɛni/