Ufafanuzi wa mkola katika Kiswahili

mkola

nominoPlural mikola

  • 1

    mmea unaozaa matunda yenye kafeni, kwa kawaida haupukutishi majani wakati wa kiangazi.

Matamshi

mkola

/mkɔla/