Ufafanuzi wa mkomo katika Kiswahili

mkomo

nominoPlural mikomo

  • 1

    dawa ya unga inayoaminiwa na baadhi ya watu kuwa ikipuliziwa na kuitiwa jina la mtu aliyekusudiwa mtu huyo huzirai kwa muda.

Matamshi

mkomo

/mkɔmɔ/