Ufafanuzi wa mkonga katika Kiswahili

mkonga

nomino

  • 1

    kiungo cha tembo kinachojitokeza kwa mbele ambacho hukitumia kama mkono wake; pua ya tembo.

    mwiro

Matamshi

mkonga

/mkɔnga/