Ufafanuzi wa mkongojo katika Kiswahili

mkongojo

nominoPlural mikongojo

  • 1

    fimbo ndefu inayotumiwa na wazee au wagonjwa kuwasaidia kutembea.

    fimbo, asa

Matamshi

mkongojo

/mkɔngɔʄɔ/