Ufafanuzi wa mkongwe katika Kiswahili

mkongwe, kikongwe

nominoPlural wakongwe

  • 1

    mtu mwenye umri mkubwa sana.

  • 2

    mtu mzee sana, agh. asiyejiweza.

Matamshi

mkongwe

/mkɔngwɛ/