Ufafanuzi wa mkono katika Kiswahili

mkono

nominoPlural mikono

 • 1

  kiungo cha mtu kinachotokeza kwenye bega kinachotumiwa kushikia vitu.

 • 2

  kitu chochote kinachofanana na au kufanya kazi ya kushikia vitu.

 • 3

  sehemu ndogo ya kitu inayojiunga au kutoka kwenye kitu hicho.

  ‘Mkono wa bahari’
  ‘Mkono wa mto’
  ‘Mkono wa shati’

 • 4

  dhiraa

Matamshi

mkono

/mkɔnɔ/