Ufafanuzi wa mkonzo katika Kiswahili

mkonzo

nominoPlural mikonzo

  • 1

    fimbo au mti unaochongwa kama mkuki na utumiwao kuchokolea pweza au kaa.

Matamshi

mkonzo

/mkɔnzɔ/