Ufafanuzi wa mkopo katika Kiswahili

mkopo

nominoPlural mikopo

  • 1

    ununuzi wa kitu kwa masikilizano ya kulipia sehemu ya bei yake mwanzo na sehemu nyingine baadaye au kuchukua bila ya kulipa chochote mpaka baadaye.

    ‘Gari la mkopo’
    karadha

  • 2

    fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha.

Matamshi

mkopo

/mkɔpɔ/