Ufafanuzi wa mkorofi katika Kiswahili

mkorofi

nominoPlural wakorofi

  • 1

    mtu mwenye matata; mtu mwovu mwenye udhia.

    ibilisi, mchokozi, mnaa

  • 2

    mtu asiyekuwa na baraka na pato, anachokipata huwa hakikai au kinamtoka.

Matamshi

mkorofi

/mkɔrɔfi/