Ufafanuzi wa mkosha katika Kiswahili

mkosha

nominoPlural mikosha

  • 1

    fimbo maalumu ya kuswagia ng’ombe.

  • 2

    kitu cha kumchochea mtu atende jambo.

Matamshi

mkosha

/mkɔ∫a/