Ufafanuzi wa mkowa katika Kiswahili

mkowa

nominoPlural mikowa

  • 1

    mkanda, agh. mnene, unaovaliwa kiunoni ili kutilia fedha.

Matamshi

mkowa

/mkɔwa/