Nyumbani Kiswahili mkufu
mnyororo mwembamba uliotengenezwa kwa madini k.v. dhahabu au fedha ambao huvaliwa shingoni, agh. na wanawake, kuwa ni pambo.