Ufafanuzi wa mkuku katika Kiswahili

mkuku

nominoPlural mikuku

  • 1

    Kibaharia
    mhimili wa ubao katika chombo cha kusafiria k.v. dau, jahazi, n.k. unaokuweko chini ya chombo na hupigiliwa mataruma pande zote mbili kwendea juu.

  • 2

    uti wa mgongo wa chombo cha kusafiria majini.

    cheleko, mastamu

Matamshi

mkuku

/mkuku/