Ufafanuzi wa mkulivu katika Kiswahili

mkulivu

nominoPlural wakulivu

  • 1

    mtu anayechosha wengine kwa maneno au matendo.

  • 2

    mlegevu, mtepetevu

Matamshi

mkulivu

/mkulivu/