Ufafanuzi wa mkumbi katika Kiswahili

mkumbi

nomino

  • 1

    mti ambao magome yake hutoa rangi ya manjano yanayotumiwa kupikia kili.

    mwingamo

Matamshi

mkumbi

/mkumbi/