Ufafanuzi wa mkunatuu katika Kiswahili

mkunatuu

nominoPlural mikunatuu

  • 1

    mti ambao mizizi au majani yake hukaushwa, husagwa na kutumiwa kuwa ni dawa inayotiwa kwenye jeraha baada ya mtu kutahiriwa.

Matamshi

mkunatuu

/mkunatu:/