Ufafanuzi wa mkunde katika Kiswahili

mkunde

nominoPlural mikunde

  • 1

    mmea unaotambaa utoao mazao yanayofanana na maharage madogo yanayoitwa kunde.

Matamshi

mkunde

/mkundɛ/